Wanaume wengi kupima kwao ni mtihani,mie wangu tunaenda wote ila ananisindikiza tu anaangalia majibu yakitoka linafurahia utafikiri limepima lenyewe eti ukipima mke wangu inatosha wewe ndo kipimo changu
Nlipoanza clinic ikabidi na yeye apime ha ha ha ha ha jamani njia nzima hakuongea mpaka kufika kanuna baada ya majibu lilichekaje sasa!!!
hahahahahaha umenichekesha sana,ukimwi unatisha nyie acheni tu \Umenikumbusha aisee, wangu alikuwa na hako kamchezo bwana, sasa mwaka jana ile naanza clinik nikamuomba twende akaleta excuses kibao, nikasema ngoja nimkomeshe. Nikaenda Hospitali, basi kila dk ananipigia anauliza eti vipi majibu!! Nikapima majibu kuja niko poa, basi nikazima sim afu nikapita kwa dadangu nikakaa hadi saa 4 usiku.
Jamaa alipunic ile mbaya! Nikarudi home nikajivisha sura ya huzuniiii! Basi ile kuniona tu na sura ya huzuni akajua kwisha habari yake! Nikaingia room kimya kimya bila hata salamu. Akaniuliza vipi wife mbona ulizima sim?Nikakaa kimya, akaendelea na maswali nikalipuka na kilio eti majibu sio mazuri.
Jamaa alinywea balaa, nikaonajasho linamtoka, kawasha feni mara kajipepea! Katoka nje hajielewi, mara kamwita first born wake, mwanaume kamasi jepesi hiloooo! Mara karudi home kaanza kulia nikamuuliza unalia nini kama ukimwi unao tayari daah! Baadae nikamuonea huruma nikamwambia ni uongo mana nilihisi alikuwa anatafta namna ya ku commit suicide. Wiki nzima mwili wake ulikuwa wa baridi kama mjusi.
Kweli ni kazi sana kupima kitu kisichokuwepo!
utalalaje na mtu bila kupima???Hhaaaa kwenye kupima utajiaminije wakati unaemuamini /anaekuamini ndie anaekumbukiza HIV?
Mmmh, dadangu wewe na amu !! Nyie watu mnastahili tuzo sijui niwatunuku nini!! mmenipa furaha kicheko iliyojee!!Umenikumbusha aisee, wangu alikuwa na hako kamchezo bwana, sasa mwaka jana ile naanza clinik nikamuomba twende akaleta excuses kibao, nikasema ngoja nimkomeshe. Nikaenda Hospitali, basi kila dk ananipigia anauliza eti vipi majibu!! Nikapima majibu kuja niko poa, basi nikazima sim afu nikapita kwa dadangu nikakaa hadi saa 4 usiku.
Jamaa alipunic ile mbaya! Nikarudi home nikajivisha sura ya huzuniiii! Basi ile kuniona tu na sura ya huzuni akajua kwisha habari yake! Nikaingia room kimya kimya bila hata salamu. Akaniuliza vipi wife mbona ulizima sim?Nikakaa kimya, akaendelea na maswali nikalipuka na kilio eti majibu sio mazuri.
Jamaa alinywea balaa, nikaonajasho linamtoka, kawasha feni mara kajipepea! Katoka nje hajielewi, mara kamwita first born wake, mwanaume kamasi jepesi hiloooo! Mara karudi home kaanza kulia nikamuuliza unalia nini kama ukimwi unao tayari daah! Baadae nikamuonea huruma nikamwambia ni uongo mana nilihisi alikuwa anatafta namna ya ku commit suicide. Wiki nzima mwili wake ulikuwa wa baridi kama mjusi.
utalalaje na mtu bila kupima???
Kweli ni kazi sana kupima kitu kisichokuwepo!
Umenikumbusha aisee, wangu alikuwa na hako kamchezo bwana, sasa mwaka jana ile naanza clinik nikamuomba twende akaleta excuses kibao, nikasema ngoja nimkomeshe. Nikaenda Hospitali, basi kila dk ananipigia anauliza eti vipi majibu!! Nikapima majibu kuja niko poa, basi nikazima sim afu nikapita kwa dadangu nikakaa hadi saa 4 usiku.
Jamaa alipunic ile mbaya! Nikarudi home nikajivisha sura ya huzuniiii! Basi ile kuniona tu na sura ya huzuni akajua kwisha habari yake! Nikaingia room kimya kimya bila hata salamu. Akaniuliza vipi wife mbona ulizima sim?Nikakaa kimya, akaendelea na maswali nikalipuka na kilio eti majibu sio mazuri.
Jamaa alinywea balaa, nikaonajasho linamtoka, kawasha feni mara kajipepea! Katoka nje hajielewi, mara kamwita first born wake, mwanaume kamasi jepesi hiloooo! Mara karudi home kaanza kulia nikamuuliza unalia nini kama ukimwi unao tayari daah! Baadae nikamuonea huruma nikamwambia ni uongo mana nilihisi alikuwa anatafta namna ya ku commit suicide. Wiki nzima mwili wake ulikuwa wa baridi kama mjusi.
Labda muache michepuko kwani waliopata ngoma walikua hawapimi?

Hahaha nimecheka Sana ila hiyo party ya ukiumia Sana hata unywe vipi pombe haisaidiii ni kweli.Dah!we iache hiyo siku kama ilivyo,kipindi kile napima kwa mara ya kwanza majibu yalikua yanachukua siku mbili,nikiwa nimebakiza wiki mbili nifunge ndoa na wife,nikajulishwa na pastor kwamba kiutaratibu lazima tupime,wakati huo actually nilikua sijiamini coz mtaani kulikua na demu ambae nimeishampitia na alikua na moto
si watu wakamtonya bamkwe ikabidi tulazimishwe kupima,tukapelekwa na pastor na vipimo alipaswa kuvifuata yeye,nawaambia that day sijaisahau kabisaaaa,imagine zimebaki wiki 2 mfunge ndoa afu unapimwa majibu yanakuja ndivyo sivyo weee!!!
Baada ya kutoa damu hosp nilifikia bar nikatwanga maji ili kuondoa mawazo but nimeprove ukiwa kwenye hard situation hata pombe haisaidii,nashukuru majibu yalitoka poa ila nilikua nimeumia sana,kusikie tu kupima kama wewe hujatulia.