Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,923
Daaaa bonge LA adviceMuda ni dawa.
Stay put angalia maisha yako jijenge.
Utampata mwanamke bora zaidi yake.
Hahhhh acha nicheke kwnza I mean kukataliwakibuti ndio nini?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23]Kuna dada mmoja kanilataa jana tu eti naonekana sijatulia
Nitulie vp sasa jamani?!
eti eehKaza buti uwenda ana kupima.
Inabidi afanye hivyo kama anampenda haswa. nipe maujanja yako, unafanyaga vipieti eeh
hvyo hvyo umemshauri vzr tuInabidi afanye hivyo kama anampenda haswa. nipe maujanja yako, unafanyaga vipi
Kibuti kinauma kwa mtu ambae umemweka moyo kabla ya yeye kukuweka.hvyo hvyo umemshauri vzr tu
sanaaa..tatizo mnakoseaga unatakiwa ujenge kwanza mazoea kidogo na mtu sio mtongozo papo kwa hapo wataka ukubaliweKibuti kinauma kwa mtu ambae umemweka moyo kabla ya yeye kukuweka.