kupiga windows 7

kupiga windows 7

Ludanha

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
552
Reaction score
647
naomba mnisaidie njia ya kuweka windows 7 kwenye mashine yenye linux mint 14.

Maana kila nikijaribu ku-boot from DVD inakataa kumaliza.:sad:
 
Ndugu Ludanha kwa uelewa wangu installation ya linux mint ni tofauti kidogo na Windows. Kwa hiyo create unallicated partition. Kisha uboot from DVD Install Windows yako kwenye hiyo unallocated space ikimaliza kama hautaihitaji Linuxmint fanya yafuatayo:
- Download & Install EasyBCD
- Ikimaliza ifungue kisha set PC yako iboot kwenye Windows 7.
- Kwakuwa Linuxmint partition inakuwa na katika File System ya exFAT haitaonekana kwenye Windows Explorer.
- Nenda kwenye disk management na kisha ufute partition mbili, hiyo ya Linux mint na ya ya Swap area ambayo normally ni ndogo.
 
Last edited by a moderator:
naomba mnisaidie njia ya kuweka windows 7 kwenye mashine yenye linux mint 14.

Maana kila nikijaribu ku-boot from DVD inakataa kumaliza.:sad:
Hapo inakataa kumaliza kitu gani?
Labda cd yako haipo sawa, jaribu kutumia flash,
Kama ikifanikiwa kuingia Window 7, hiyo Linux Mint hautaiona, Bootloader za Window zina- overwrite za Linix(grub), so inabidi ufanye reinstallation ya Grub,
Best way fanya clean installation kwa kuanza na window 7 then Linux Mint.
 
Back
Top Bottom