platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,366
- 11,157
Mbona kuna watu hata wakiwa na partner bado wanajipenda tu?
Ni sawa na kusema hutokula mishkaki sababu ulipata lamb stew.
It's the same thing (sex) but it is so different you can have both.
Ndio maana nikawa njiuliza kwa nini mnaweka kucha za mamba
Sasa jibu nimepata hakuna wa kunidanganya
Hebu mwali niondoe mashaka kama na weye ni mwanachama
Ili nijipange vizuri kwa mwandani nikimpata
Hivi ina ladha sawia kama ile ya kawaida?