Kupenda nisipopendwa...

Kupenda nisipopendwa...

Miaka 9 ulikuwa unajipanga nini!
Umesubiri hadi umeona jamaa katusua na hana mpango na wewe tena .Pole ila move on
#Niko upande wa huyo jamaa#
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hapa ndio jibu lilipo ''Ee Mungu wangu naomba unipe mwanaume uliyemuandaa kwa ajili yangu''. Hizo nyingine zote ni porojo. Ila pole kwa kukutana na PHD holder ambae hajui kusoma hisia na kuchukua hatua.
 
Hivi haya maombi yenu Mungu Akisema ayajibu huwa mnayakubari kwelii majibu yamaombi yenu???
 
Miaka 9 ulikuwa unajipanga nini!
Umesubiri hadi umeona jamaa katusua na hana mpango na wewe tena .Pole ila move on
#Niko upande wa huyo jamaa#
Ni marafiki ambao tumesaidiana kutimiza ndoto zetu, kila mtu ana mchango kwenye maisha ya mwenzie
 
Ulimkosea nini, kuwa muwazi ili tuamue kwa haki ama sivyo tuhitimishe una tamaa wala hufai kwa ndoa !!
 
Chimwemwe tajiri wa kike

Acha kupoteza muda rafiki yangu..... Zidi kuvuta Subira utapata mwanamume anayekupenda zaidi ya wewe unavyompenda.... Huyu ndio atayakekuwa mumeo sasa...... Hayo mambo ya kupenda saaannaaa waachie teenagers....!!!!
 
CHIMWEMWE, pole sana. Nakuomba PM mara moja. Nimeumia sana.
Huyo jamaa anatoa wapi ujasiri wa kukutesa na kukuumiza hivyo?
kweli wanaume tumebaki wachache na tupo tofauti sana.
 
Naona umeamua kufukua kaburi.anasaka bwana huko sijui tayari amesha pata.
 
Back
Top Bottom