Kupenda ndo nini

manking

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
1,306
Reaction score
316
Wanajamvi habari zenu, naombeni ushauri tangu ni balehe sija wahi kumpend mpenzi (msichana) kama nionavyowengine walivyo maana utawakuta mtu na mpenzie wanalishan ice cream, amekaa kwenye mapaja ya mwenzie , wakitembea barabarani wameshikana mkono, asipomuona siku moja ni kama mwaka , sms za mapenzi mara kwa mara, hawezi kulala bila ya kuwasiliana na mpenzi wake. kwangu mm hali ni tofauti maan kwanza huwa sipendi mawasiliano mara kwa mara tunakutana kwa shughuli maalum tu tukiachana hadi anitafute
Nipeni ushauri pengine ninatatizo.
 
Kwanza kabisa hebu tuhabarishe, una umri gani?? Kama umevuka miaka 18 basi jibu swali linalofuata;

Pili, viungo vyako vya uzazi vinafanya kazi ipasavyo?
 
Nina miaka 30 na viungo vyangu viko sawa kabisa hakuna tatizo lolote.
 
Basi utakuwa maksai wewe...
 
Una pepo ambalo huwa unangonoka nalo usiku. Hivyo huwezi kumpenda mwingine
 
Jitathmini. Ujue mara ngapi?? We mwenyewe si unajiona mambo yako hahahah
 
Labda hujampata mtu sahihi ambaye atakufanya ujisikie upo dunia nyingine
 
Bado hujakutana na mtu sahihi akuubamba moyo wako,endelea kusubiri....itakapokuja wala hutaelewa utajiona tu ni mtu wa tabia nyngne kabsa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…