kupenda kwingine utumwa

dada sitaki kukuita hivi we kilaza yani uhoni huyo mwanaume hakupendi kabisa he is gold digger
 
Vitu vingine hata kama vinaonekana kusikitisha lakini vinachekesha sana na ni vigumu kuviamini.
 
nenda kachukue hiyo hela umpe ....wajinga ndio waliwao
 
wewe unampendea nini, dushelele au...?
 
Jamani mbona Mungu anazikwepesha hizi bahati hainiangukii mimi? Ugegede na upewe pesa jamani!
 

please ukimpa hiyo hela ambayo ndio mkombozi wako, umekwisha wala hutokaa umuone tena huyo....!!!!
nakushauri kimbia haraka sana...ungekua karibu ningekuzaba hata kofi moja angalau nitabaruku kidogo!
 
Inaonyesha hujipendi, hujitambui, hujithamini wala hujijali. hivi kwa dunia ya leo kuna wanawake kama wewe! maajabu!
Ama kweli ni utumwa wa mapenzi, "I can be a slave of money whotever, but I can't be slave of love ever"

Hataka umempenda kiasi gani, mapenzi umpe na pesa umpe, si umpe tu mapenzi ila pesa yako akuachie! Looooo
ama kweli duniani kuna vituko. Nasema amka tupa shuka toka kaktika usingizi mzito. mbona wanaume wengi sana wengine mpaka tunaona kero wewe unaishi wapi ambako mwanaume ni huyo peke yake
 

ni PM nikusaidie. Am serious
 
Mpe tu hyo ela yako ya nssf akanunulie gari si umempenda bhana..
 
pole xana bt jiamn,na achana na huyo mwanaume!kwan wameisha? Wako yupo 2 na atajileta mwenyewe
 
uwiiiiiiiiii...napenda sana ila hii yako kali ya mwaka cjui au niite makubwa ya karne
..hela umpe
..k umpe
..halafu umbembeleze
..yaani natamani nikutukane...
Naona unatafuta kifo
ngoja ufe manaake ww chembamba
..mwenzio nisharudisha 1/2 kg
 
Ubongo wako nahisi umeganda...hebu fanya juhudi uuyeyushe kwanza.
Hivi wanawake wengine kwa nini huwa mnapelekeshwa hivyo na wanaume? kwani huwa tunawashikia mitutu siye kuwa mtupende ima faima

Mi sijui wenzangu huwa wanawatoa wapi hao wanaume kalumekenge........mbona mimi siwaonagi.........? Mtu wa kunidai pesa.......ooh NO........
 
sasa si ayumie pesa zake mwenyewe anunue hilo gari???
 
hilo suala limekua zito kwako kwa kua hujapata anaekupenda kwa dhati,wew naweza kukuita mkimbizi ambae hana kambi,subiri utampata atakae kupenda nawe utampenda kwa pamoja mtapendana,huyo ni mchunaji tu na ukishaishiwa hutomwona,achana nae huyo sio manufaa wala future kwako,ila yupo kwako ili nawe ujifunze kwamba kuna watu design hiyo,usirudie kosa tena,fanya maamuz sahih
 
Umeshaambiwa piga chini usijiulize mara mbili.Usisubiri abadilike maana hawezi
 
I wish kila mtu angekuwa na moyo kama mimi, kwanini unapenda sehemu usipopendwa?, tupa kule, fanya yako,tafuta kazi, na wape nafasi wanaume wengine, life goes ON...achana na mwehu huyo...
 

Uyo anataka pesa live
 
bidada kaz unayo japokuwa unampenda yeye bado haonyeshi nia ya dhati kwako.Kuna wakati inakubidi ufanye maamuz magumu japo inauma ila huna namna kuliko kuendelea kuwa mtumwa ni bora kutafuta suluhisho lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…