Kipanga boy JF-Expert Member Joined May 28, 2017 Posts 1,409 Reaction score 1,231 Jul 5, 2017 #1 jamana nawauliza tu wadau msaada wenu kwa tafsiri pana ya Kitu kupenda au kumpenda mpenzi.
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,869 Reaction score 11,485 Jul 5, 2017 #2 Ukikua utajua hata usiwe na haraka
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,700 Jul 5, 2017 #3 mapenzi hayana shule wala ujuzi,kila mtu huyaendesha kulingana na mtu aliyekuwa nae katika mahusiano,ukiwa kwenye mahusiano utapata majibu yote ya maswali yako,hapa kila mtu atakupa jibu tofauti,na unajua kuwa muluzi mingi humpotezea mbwa windo
mapenzi hayana shule wala ujuzi,kila mtu huyaendesha kulingana na mtu aliyekuwa nae katika mahusiano,ukiwa kwenye mahusiano utapata majibu yote ya maswali yako,hapa kila mtu atakupa jibu tofauti,na unajua kuwa muluzi mingi humpotezea mbwa windo
Pablo JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 2,441 Reaction score 2,551 Jul 6, 2017 #4 Shule hazijafunguliwa bado
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Jul 6, 2017 #5 Subiri ukikua mdogoo...utajua