Kupenda kupita mipaka (SINGS & SYMPTOMS)

Kupenda kupita mipaka (SINGS & SYMPTOMS)

interlacs

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
213
Reaction score
193
Dalili za kupenda kupita mipaka; ukiwa na tabia hizi faham kwamba unatoka kwenye Kupenda kawaida unaelekea kwenye kupenda kupita kiasi ( From love to loving too much). Ebu tupia na wewe mawazo yako

1. Mazungumzo; dalili mojawapo ya kupenda mtu sana ni kwamba ; unatamani kuongea naye kila wakati ila yeye hajali na ata anaweza kukaa muda mrefu bila kukutafuta na asione kama ni shida kwake.

2. Unajisikia kua mtupu ndani yamoya wako kabla ata ujakutana na mwenzi wako.

3. unatumia siku nzima kumfikiria mwenzi wako na kupanga mikakati ya jinsi kuongea naye

4. Unashindwa kumwambia mapungufu yake ili ajirekebishe kwa kuofia atakupiga kibuti, kwako wewe kila kitu anachokifanya ni sawa.

5. hutaki kusikiliza au kutendea kazi ushauri wa ndungu jamaa na marafiki kuhusu mpenzi wako.

6. Mkikutana wewe unazunguzia zaidi sana kuhusu mapenzi ila mwenzio ndo kwanza anasoma gazeti.

7. Zawadi kila mara ili ku secure your love, unaisi kwamba usipo mpa kitu atakupiga chini.

9. kila siku yeye ni mtu wa ku bip, ukimwongezea salio, anakutumia tafadhalii nipigie, au anaku bip.

10. Mtu yuko inje ya inchi kwa mfano marekani au ulaya hapigi simu ila wewe kila siku unaruka hewani tena kwa muda mrefu.
11; Mara presha, mara kuumwa ati kwa sababu hujamuona mwenzi wako.

12. Ikifika kwenye game (Sex) sasa hujuwi uanzenje..., mwenzio kila siku anatoa sababu. na akikupa ni goli moja tu. huku mwenzio anasoma gazeti.

13 Endelea...
 
nlikua naelekea huko sasa narudi,asante mkuu ngoja namlia timing saiz 50/50,akibp nabip
 
hahha hamna kitu 50/50 kuna mmoja tuu atapenda zaidi
 
haaaaaaahaaaaaaaahaaaaaa umenichekesha mkuu ila ni kama vile ngumu coz kuifanya one needs a very srong personality kutoka kwenye too much loving to normal loving.
nlikua naelekea huko sasa narudi,asante mkuu ngoja namlia timing saiz 50/50,akibp nabip
 
ukiweza mshukuru Mungu kwani ni mara chache love kuwa 50/50 mara nyingi huwa ni 70/50,80/50 au 100/50 so sad aiseee.
Huo utumwa, na ni rahisi kuumia sana. Siwezi. 50/50 ndo mpango, wote tupendane sawa.
 
umejitahidi sana kukumbuka yaliokua siku za hivi karibuni well and good keep on touch dude..
 
13. Ukikuta comment yake tu lazima umpige "LIKE".
:violin::bange::bange::majani7::bange::bange::violin:
 
Hizo ni dalili za mapenzi ya upande mmoja!
 
Njoo na pande zote men, acha kuegemea upande mwingine. Kwani before simu hakukuwa na mapenzi???
 
Best huu uwiano wako umetumia kanuni gani ya Hisabati?

ukiweza mshukuru Mungu kwani ni mara chache love kuwa 50/50 mara nyingi huwa ni 70/50,80/50 au 100/50 so sad aiseee.
 
poleeeeeeeeeeeee.
Thanks !but niombee sio niwe 50/50 bali niogeze kufall na in case of anything niwe strong kuwithstand,there is no way I am going to love my girl 50/50.?hiyo 50 nyingine niiweke wapi?ibilisi asije kuitumia
 
Anza kugeuza mdogo mdogo, utakuja kulia ukose wa kukubembeleza ooohoooo
Siwezi kupunguza naturally I have yeye peke yake lazima ni invest kila kitu aisee,hizi habar za 50/50 sio mpango ,ni uswahili likitokea la kutokea unaumia then unasimama unajipangusa vumbi unaendelea kungekuwa na company za insurance kwenye hii area labda ingesaidia,saa nyingine mañana ya maisha haya inapimwa na ugumu unaopitia....
 
Back
Top Bottom