Kupenda kubaya potelea mbali-baada ya kudanganywa

Kupenda kubaya potelea mbali-baada ya kudanganywa

ntaenda kupima nae kwanza,,hata sijielewi jamani,,moyo unaniuma sana
 
Mwanaume anatumia zaidi kichwa chake akiwa kwenye mahusiano... ukiona moyo umeuelemea kichwa ni kawaida kusikia mtu amejiondoa uhai kwa sumu au kujinyonga kwa ajili ya mapenzi. Ruhusu kichwa chako kifanye kazi kwa uhuru.

But I thought moyo ndio ubongo katika swala zima la hisia,firka,mawazo,n.k which means kuna bongo zinazojua kufikiria na zipo zisizojua kufikiria, kuna bongo zinazojua ni wapi panahitaji kufikiria na wapi pa kufuata hisia/instinct tu.
 
hatujagombana mwezi huu,,tuna miezi 3 toka tugombane
 
nimejaribu kuondoa hayo mawazo lakini nimeshindwa,kweli kabisa imefika muda mpaka natamani hata kufanya kitu cha ajabu

Aisee wewe kabila gani? Mhehe?? Mbena??? au Mchaga??? manake kati ya haya makabila ukisikia kauli kama hizi zako tunaweza tukaanza kujindaa kisaikolojia
 
nilishamuhaidi kumuoa mwaka huu,,tena mpaka saizi nikimbembeleza namwambia aniruhusu nipeleke barua kwao lakini hataki
 
nimejaribu kuondoa hayo mawazo lakini nimeshindwa,kweli kabisa imefika muda mpaka natamani hata kufanya kitu cha ajabu
Aloooooooo vp unataka kufanya kitu gani cha ajabu / tel us, Chnge our attitude to think as a man bhna ehh hawa dadaz wapo kibao unashish kufanya mmbo yako kisa umependa OMG
 
siyo kujiendekeza hakuna mtu anayependa kuteseka hivi,,
 
Pole we na hii valentine! Keshahaidiwa vits huko! We endelea na yako tu akirudi na +ve utamkubali?

acha ujinga bhana, mbona mimi nampenda munkari na hajui, na wala sijishughulishi! ninachokupendea huwa humung'unyi maneno .... eeee....na akirudi na +ve afanyaje?
 
Mkuu huwa sitaki kuamini kupenda ni hisia.... Linapokuja swala la mahusiano ya mtu mke na mtu mme...
KUPENDA NI MAAMUZI.

Hisia ni reactions tu za glands mwilini... kama hasira.. kusisimka(chemical reactions)... etc. ambazo pia ni za muda mfupi ... huja na kuondoka na pengine zinaweza zisirudi tena zikiondoka kulingana na tukio husika.... Lakini ukiuangalia upendo kwa mapana yake haupaswi kuwa kitu cha kihisia... maana kuna mahali hata wanandoa huwa wanapoteza hisia kabisa na mwenzake.. je still hapo hakuna upendo??

Niko tayari kujifunza kinyume cha haya kwa hoja Mkuu. Asante

Kiongozi Mr Rocky kaa chonjo hapa.
But I thought moyo ndio ubongo katika swala zima la hisia,firka,mawazo,n.k which means kuna bongo zinazojua kufikiria na zipo zisizojua kufikiria, kuna bongo zinazojua ni wapi panahitaji kufikiria na wapi pa kufuata hisia/instinct tu.
 
ntaenda kupima nae kwanza,,hata sijielewi jamani,,moyo unaniuma sana

moyo kuumia lazima kwa sababu ulipenda na ww sio wa kwanza kuumizwa katika mapenzi trust me watu wengi wamepitia/tumepitia hiyo hali so inabidi kupiga moyo konde maisha lazima yaendelee ashakuonyesha kwamba she is not the right partner,so its time nw kwako ku make right decision.
 
Mkuu huwa sitaki kuamini kupenda ni hisia.... Linapokuja swala la mahusiano ya mtu mke na mtu mme...
KUPENDA NI MAAMUZI.

Hisia ni reactions tu za glands mwilini... kama hasira.. kusisimka(chemical reactions)... etc. ambazo pia ni za muda mfupi ... huja na kuondoka na pengine zinaweza zisirudi tena zikiondoka kulingana na tukio husika.... Lakini ukiuangalia upendo kwa mapana yake haupaswi kuwa kitu cha kihisia... maana kuna mahali hata wanandoa huwa wanapoteza hisia kabisa na mwenzake.. je still hapo hakuna upendo??

Niko tayari kujifunza kinyume cha haya kwa hoja Mkuu. Asante

Kiongozi Mr Rockykaa chonjo hapa.

Kiongozi
Kabla hatujazama kwenye issue ya Hisia-Kupenda-Maamuzi, naomba tuwekane sawa sehemu moja, ili tuuanze huu mjadala kutokea kwenye angle moja.

Kwamba hisia na Fikra za Binaadamu hufanyikia kwenye Ubongo, na pale mtu anaposema moyo wake umeumia au umemdondokea fulani bin fulani infact anamaanisha kwamba ubongo wake umeumia au kumdondokea muhusika.

Ikiwa na maana ya kwamba Moyo ndio Ubongo na Ubongo ndio moyo,yaani ni majina tu.
 
Ulikuwa haumkuni vizuri na sasa kapata mkunaji, anayejituma hadi anasahau shida za duniani.
 
Nguo ya kuazima haisitiri mwili, yeye keshashona kanzu yake kwa mwengine wewe hutoshelezi kwake. Omba MUNGU akuvushe
 
kweli kabisa mkuu TIZED kupenda ni MAAMUZI, sema ndo vile ELIMU hii ni ya juu sana ni kwasababu wengi walimezeshwa kufuata HISIA, hii imewafanya wasitambue upande wa pili kwamba kupenda ni maamuzi..
 
Back
Top Bottom