mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 801
ni kiswahili tu
Mahakama imeingilia bunge ? hilo la msingi
Mahakama imekiuka katiba.Hapa mahakama imeenda chaka ukiangalia ibara ya 100 (1) na (2) ya katiba ya jamhuri ya muungano utagundua mapungufu ya uamuzi wa leo.
Hii ni executive mahakama inasakiziwa! Rejea barua ya Ombeni sefue
Hivi kwa nini bunge lisipige kura ya kutokua na imani na raisi?