Kupata pesa na hisia

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,147
2,630
Sijui kama wengine hili linawatokea, kuna ile kupata pesa nyingi nyingi tu kwa kiwango chake alafu hujisikii kufurahia kupata hizo pesa au kama vile unaona kawaida vile na kuna ile unafurahia kupata pesa nyingi, kwanini tofauti hizi zinatokea?
 
Back
Top Bottom