Habarini wajameni;
Nina ndugu yangu alizembea kusoma akaishia la saba.
Sasa ameibuka anataka soma. Nasikia waweza soma na kupata cheti za form 4 ndani ya 2 years. Je hiyo form 4 utakaopata kwa njia hii inatambulika? Na uta-sit for th same exams as a normal form 4 student at the end? Na masomo yanakua yote au?
Naomba mchango wowote na ushaur tafadhali ktk suala hili.
Natangulza shukran zangu mbele!