Kesho au kesho kutwa nitakupa namba ya duka la mshikaji atakuwa anakutumia mwenyewe mana namuonaga anafunga CD nyingi katika box naamini atakuwa anawatumia wateja wa mikoani sasa sijajua kwa idadi ya CD kuanzia ngapi ila mtaongea wenyewe ni hapa AGGREY kkoo