Kupata maumbile ya slim-fiti na ukavutia................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Kupendeza vile vile kwategemea sana na maumbile ambayo hayajakithiri kwa mlo wa kupindukia........................yaani kuwa slim-fit............................wengi wamejaribu kila aina ya muarobaini kuanzia mazoezi.....hadi kujinyima vyakula wavipendavyo.........................lakni wenzetu wameanzisha dawa ambayo wanaita ni Sensa Weight Loss System, ambayo hunyunyiziwa kwenye chakula ukipendacho na kuongeza harafu nzuri na kukufanya ujsikia umeshiba kwa kuudanganya ubongo kuwa umeshiba wakati la hasha......................kwa hiyo huli sana..........................soma hii makala kwa ufafanuzi zaidi..........Weight Loss Discovery Making National Headlines......................

hebu tuitafakari hata kama bado ndiyo inaingia sokoni.................................
 
Ruta wengine hata hawali mwili unakuja tu na wengine hata apige misosi ya KFC au MCDONALD daily hanenepi

siamini kama huli mwili utakuja tu......................ukweli ni kuwa unapopakia kidogo kidogo au kwa fujo ndipo kitambi na kidevu cha pili vinaanza kujijenga.....................mwili hauwezi kuongezeka tu kama hakuna makulaji.....................................uzito huo utapitia wapi???????????

ingawaje ni kweli growth hormones zaweza kusababisha mtu kunenepa lakini ni lazima awe na hamu ya kula kupita kiasi....................yaani kuvimbiwa...................
 
Let me tell you one thing, nimegundua kuwa sisi watanzania hatujui impact za misosi ndiyo maanamtu mwingine utamsikia akilalamika:"Jamani, inakuwaje mimi siku hizi nimeacha kula mchana lakini bado nanenepa. Mara nyingi huwa nakula biskuti na soda tu wakati wa mlo wa mchana". Mtu huyu hajui kiasi cha calories zilizomo kwenye soda na hizo biskuti zinaweza kuwa zinaizidi sahani ya wali kwa zaidi ya mara mbili. Mtu huyo huyo, hana physical activities, tena hulalamika sana umeme ukikatika na option ya kwenda ofisini ni through stairs. Sasa kwa hali hiyo mtu ataacha kunenepeana japo hali chakula cha kumfanya ashibe?
 
Kweli unene si kama kichogo, huja kwa sababu!
 
inapatikana wapi hiyo?.....maana nilivyo mnene na haya macellulite yananiharibia pozi......Ruta....nipe maujanja ya kuipata
 
nilivyo kimbaumbau hata siyataki. Preta hujambo eeh.

sijambo dear.....heri yako wewe huyahitaji.....yaani siku zinavyokwenda nitajikuta nimekuwa na shepu ya namna hii...O....nina mawazo sana Husninyo.....hasa nikifikiria jinsi siwezi kuvaa hata pedo
 
sijambo dear.....heri yako wewe huyahitaji.....yaani siku zinavyokwenda nitajikuta nimekuwa na shepu ya namna hii...O....nina mawazo sana Husninyo.....hasa nikifikiria jinsi siwezi kuvaa hata pedo
usiwaze, kuna watu wanaulilia ubonge. Hahaha! Ubonge heshima bwana unaonekana bosi. Lol.Kitu cha elf 5 utaambiwa elf 10. Wenzio wenye miili midogo tunagonga menyu ya nguvu tututumke.
 
usiwaze, kuna watu wanaulilia ubonge. Hahaha! Ubonge heshima bwana unaonekana bosi. Lol.Kitu cha elf 5 utaambiwa elf 10. Wenzio wenye miili midogo tunagonga menyu ya nguvu tututumke.

asante kwa kunipa moyo.......lakini hapana.....unene ukizidi ni adhabu.....yu no wora ai mini....he he he
 
Jamani hizi mambo za diet diet lol diet huwa zinakuja zenyewe ..
stress zikianza teteteh
 
Back
Top Bottom