Mimi nina uza kwa oder machine zozote zile za packaging na material yake, unatakiwa ujue ni aina gani ya kusindika. Umeongea too general, kupack biscuit, kupack karanga, kupack siagi, kupack wine, kupack juice kupack matunda vyote vinatofautiana njia ya kuhifadhi na kupack, pia inategemea wewe project yako unataka kupack vipi ndipo uje kutafuta ni machine gani na methods zipi zitqkuwa rahisi kwa idea yako. Weka wazi unataka kupack nini then nitakueleza kila kitu na gharama zote pamoja na ushauri wa kitalaam kupack hiyo