Atasubili wiki mbili watu tuna zaidi ya mwaka sasa na hatujapataHahahaha mmesha anza kuhaha..
Nenda nida na kopi ya barua ya mtendaji yenye mhuri na picha, na kitambulisho chochote kinachofahamika (leseni cheti cha la 7, cha kura nk) waambie unataka kujisajili..
Utasubiri kuanzia wiki mbili kupata.
Atasubili wiki mbili watu tuna zaidi ya mwaka sasa na hatujapata
Ndio hapo sasa huko pa week mbili ni wapi huko na mimi nije.Atasubili wiki mbili watu tuna zaidi ya mwaka sasa na hatujapata
Na kitachukua mwaka mzima mpaka kukipata.Huo uzembe wako, bila kusumbuliwa hutokipata hadi mwisho wa dunia.
Mimi nilipata mapema sana 2014
Unakwenda ofisi za nida za wilayani kwako unajisajiliHivi kama mtu huna kitambulisho kingine chochote cha kuambatanisha unatumia alternative gani?
Mkuu hawa jamaa binafsi siwaelewi kabisa utaratibu wao yaani nimejiandikisha yapata mwaka sasa, juzi wamenitumia ujumbe wa simu wakadai niangalie number yangu ya kitambulisho kupitua mtandao fulani wa simu gharama shilingi mia, nikafanya hivyo wala hawakunijibu sasa sijajua tatizo nini na mia yangu ikaenda sasa sijui kwa mtindo huu wanachukua pesa kwa watanzania wangapi.
Leo asubuhi nikadamka kwenda office zilizopo wilay moja hapa jijini
yani ni foleni kubwa balaa. Kila anayefika hajui aanzie wapi tunabaki kuulizana sisi kwa sisi.
Yoyote au lazima uende kule ulipozaliwa.....Unakwenda ofisi za nida za wilayani kwako unajisajili
Mbona kwetu, BADO Wana andikisha, na kusajiri?Heshma kwenu mabibi na mabwana na WENGINEO. Hivi kama Mtanzania hujawai kujisajiri kupata kitambulisho cha NIDA popote kwa sabab zilizoko juu ya uwezo wako, na zoez lilishakoma mikoan ni nini ufanye kusajiriwa ili kukipata? Je, viambatanisho ni nini ili kuepuka mlolongo?
Popote pale? Ama ni lazima iwe mkoa nilipozaliwa?Mbona kwetu, BADO Wana andikisha, na kusajiri?
Nenda kwenye ofisi ya NIDA mkoani kwako, au wilayani, au halmashauri iliyo jirani nawe!
Katani na vijijini, walisha maliza....