wajameni yani hata sitaki kujiamini yani na ubachelor wangu wa business in information technology unavyouza kwenye mabenk yani bado niko benchi mpk usawa huu kwani hizi banks zimebadili muelekeo wa kuajiri au? nishakuwa sielewi mie

Bila shaka umeona hali halisi, watu wanapokuwa chuo huwa wana mategemeo makubwa sana na hudhani wao ndo wasomi sana kumbe kuna zaidi yao kibao. Usikate tamaa endelea kupambana ipo siku utafanikiwa kikubwa usimwache mungu katika mambo yako na uwe na msimamo manake siku hizi kuna manabii/Mitume/Wachungaji kibao wanafanya kazi ya kuombea CV na vyeti vya watu mwisho wa siku wana uhakika wa kuongeza sadaka so shika imani yako usidanganyike.