Kupata kazi Arusha au Moshi

Kupata kazi Arusha au Moshi

LDA COMPANY

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
340
Reaction score
633
Habarini ndugu zangu wana jf.

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada nina degree ya Accounting and Finance, nilkuwa natafuta kazi kwa upande wa Arusha au Moshi.

Mimi ni kijana jinsia mwanaume, umri miaka 26 niko vizuri kwenye uhasibu na mambo ya fedha kiujumla niko vizuri kwenye accounting packages na excel naombeni ushirikiano wenu wa dhati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda pale Mega Beverages Ltd(Kvant) na upeleke application zako.
Halaf kwenye application letter yako waambie unahitaji kazi ya Materials Clerk,hyo ndio kazi rahisi kuipata hapo,kuna kijana aliyekuwa anaishikilia hyo nafasi ameacha kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom