Wadau hivi mtu anapaswa kupata choo Mara ngapi kwa siku? Maana mid kwa siku najisaidia Mara 2 mpaka 3 nashangaa watu wengine wanasema eti naptia siku mbili hawajapata choo. Je naweza kuwa na matatizo
constipation ni choo kinapokuwa kigumu na hali hio husababisha kutokupata hajakubwa ipasavyo yaani kila siku.Inasababishwa na kutokula matunda,mboga mboga na vyakula vyenye fiber pamoja na kutokunywa maji ya kutosha!
Asikudanganye m2 choo kwa cku ni mara moja tuu kwa mtu ambaye ypo normal so zaidi ya hapo au chini ya hapo wote mnamatatzo yanaweza ktofautiana klingana lyfstyle ya m2 onana nasi au dactar yyte kwa shaur zaidi