L ligolyser Senior Member Joined May 9, 2013 Posts 155 Reaction score 15 Jul 3, 2013 #1 naomba msaada ndugu zanguni, naitaji kuagiza simu kutoka ebay,naomba kufaham jinsi ya kuagiza mpaka kunifikia natakiwa kutumia proces gani na je bank gani ambayo naweza kupata msaada kwa haraka
naomba msaada ndugu zanguni, naitaji kuagiza simu kutoka ebay,naomba kufaham jinsi ya kuagiza mpaka kunifikia natakiwa kutumia proces gani na je bank gani ambayo naweza kupata msaada kwa haraka
M mwakibete JF-Expert Member Joined Aug 24, 2009 Posts 3,069 Reaction score 2,314 Jul 3, 2013 #2 Waweza tumia crdb bt uwe na master card yao na uwe registered/activated ili kufanya online shopping and transaction.
Waweza tumia crdb bt uwe na master card yao na uwe registered/activated ili kufanya online shopping and transaction.