jamani watanzania hebu tuaznze maandamano kuanzia tar 29 feb
Watanzania wa kipato cha chini mbona mambo yanazidi kutuendea kombo! Nauli mpya zaja , mgao wa umeme ndo kwanza umeshika kasi, umeme wenyewe bei juu mambo kibao bei juu. Wenye nyumba nao kupandisha bei kila mwaka. Maji yanatoka mara moja kwa mwezi bili nayo ulipe. Yarabi toba mtanzania mimi maisha bora kwa kila mtz hakuna.
hili tunaloootusubiri maisha kupanda baada ya bajeti 2011/2012
aaaaaaha watu hawana utulivu na amani moyoni,hapa nikumkataa rais na serikali yake tubado za daladala, mtakoma mwaka huu, ah ila nilisahau, sisi lakini tuna amani na utulivu, vinatutosha !
Muda si mrefu tutakuwa na wakimbizi watakaokimbia nchi kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu!