Mleta mada, kimbia huu ushauri, hauna tija na hauna ukweli, kiufupi Multi-skilled ama hajawahi kupitia unachopitia ndiyo maana kaandika falsafa dhahania tu.Kama unaota ndoto za shule maana yake unaiwaza shule all day long ambapo hii inatokana na kukosa majukumu na shughuli ya kukuweka busy.
Wahi kwa mtaalamu au kiongozi wa diniHii ni hakika na huu ndio ukweli..sasa umesema niwahi..niwahi wapi boss?
Same to me..
Au kalamu zinagoma kuandika muda unaisha..yaani vululu vululu tu
Mkuu type uzoefu kuhusu kutatua hivo vitendawiliNdoto ya primary mda mwingine inamaanisha una msingi mbovu sana wa kifikra juu ya jambo ambalo unataka kulifanya, na ukilifanya utafeli
Ndoto ya shuleni juu ya somo husika ni fumbo ambalo limefichwa kwenye fikra zako na lina nafasi kubwa sana ya wewe kufanikiwa inamaana mafanikio yako kwenye maisha yanategemea sana wewe kulitatua hilo fumbo
Mara nyingine ndoto ya uko shuleni maana yake mafanikio yako yanakwamishwa sana kwenye fikra zako juu eneo ambalo unaloota
Mim nilikua naota nafail mtihani wa hesabu almost more than 100 times au naingia kwenye mtihani ila naibia wenzangu ila still hili fumbo bado sijaweza lifumbua
Na pia nilikua naota ndoto nafail masomo ya kiswahili na kingereza nashukuru Mungu hii nimeweza kutatua hili fumbo au kutegua hiki kitendawili
Nimeamini kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kushindwa vibaya kimaisha na kuota ukiwa shule.
Kila siku huwa naota nikiwa shule na mara nyingi wakati wa mitihani na mara zote matokeo huja vibaya.
Kwenye maisha halisi sasa..vita ni kubwa sana
Kwani humu kuna mtu anaota akiwa shule na muda huo maisha yake yapo safi?
Ndoto za kiwaki ila nahis hii inawapata wale watu waliyokuwa wasongo yaani soma soma Kila muda hawana issue zingine zaid ya kitabu tudaah hii ni zaidi ya noma
Alafuunajilaumu kinoumadaah hii ni zaidi ya noma
Same to me..
Au kalamu zinagoma kuandika muda unaisha..yaani vululu vululu tu
Yaaah kweli mkuuNdoto za kiwaki ila nahis hii inawapata wale watu waliyokuwa wasongo yaani soma soma Kila muda hawana issue zingine zaid ya kitabu tu
Sawa, ila Mkuu ni kwanini watu wengi wanaota hizi ndoto zinazofanana?
Mm hii naota sana latelyMimi nilikuwa naota paper kama kesho halafu sijasoma hata topic 1