Kuota ukiwa shule

Kabisa boss...
Nakubali
 
Maana ya ndoto hiyo ni kwamba kuna mtu anakurudisha nyuma kwa kutumia ushirikina. Kama zinakukuta wahi mapema atakuharibia. Anakuloga ili usiendelee
 
Mkuu Sasa hapa unakua unarudi nyuma kivip,Maelezo zaidi tafadhari
 
hii sio chai,naona ni common scenario kwa watu wengi nikiwemo mimi hapo awali. sijui kama ni roho za kutofanikiwa zinakuwa windoni
 
Kuota upo darasani unafanya mtihani na unafeli au haumalizi kujibu mana yake Ni unataka kuanzisha jambo jipya kimaisha au unatamani kuwa katika Hali Fulani kimaisha,kufeli au kushindwa kujibu mtihani nikushindwa mipango yako kimaisha na kijamii.
 
Kuna jambo unataka kufanya ila unajulishwa msingi wako wa kifikra juu ya hilo jambo ni mbovu sana
 
Ndoto ya primary mda mwingine inamaanisha una msingi mbovu sana wa kifikra juu ya jambo ambalo unataka kulifanya, na ukilifanya utafeli

Ndoto ya shuleni juu ya somo husika ni fumbo ambalo limefichwa kwenye fikra zako na lina nafasi kubwa sana ya wewe kufanikiwa inamaana mafanikio yako kwenye maisha yanategemea sana wewe kulitatua hilo fumbo

Mara nyingine ndoto ya uko shuleni maana yake mafanikio yako yanakwamishwa sana kwenye fikra zako juu eneo ambalo unaloota

Mim nilikua naota nafail mtihani wa hesabu almost more than 100 times au naingia kwenye mtihani ila naibia wenzangu ila still hili fumbo bado sijaweza lifumbua

Na pia nilikua naota ndoto nafail masomo ya kiswahili na kingereza nashukuru Mungu hii nimeweza kutatua hili fumbo au kutegua hiki kitendawili
 
ndoto ni mzunguko wa yale uliyopitia, maono ni kuota kitu hujawahi kuona au kufika sehemu na ukaja kufika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…