Kwakweli hili la hg kufua ch**p limenistua kidogo!!Ama kweli ndege wafananao ndio warukao pamoja....
Yaani watu wazima wawili mnamwachia hg afue vyupi zenu?
Atandike kitanda chenu?
Nyie wenyewe mmekatika mikono au?
Utamwachiaje hg afue shaha**a zako?
Kwa nini hamjiheshimu?
Kwa nini hammweshimu huyo binti?
Kwa nini hamumthamini?
Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada (mtumishi wa kazi) nae yupo sebuleni anapanga chai,kumbe mamsapu nae akikuwa akitoka chumbani akashuhudia kile ambacho dada aliona na kutizama pembeni. Mamsapu analalamika kwa nini nikavalie sebuleni namwonyesha nini dada? Ilianza kama utani, duh sasa imekuwa moto baada ya kumtania mamsapu eti "eeh we, dada si kaona chupi tu ambayo anapo zifua au akiingia chumbani kutandika anaona?! Mamsapu anadai sio bure nishalamba dada, kwanini ifikie kuonyeshana nguo za ndani?
Hapo mkeo amekosea angekupeleka wodi ya vichàa kwanza, halafu ufanyiwe maombi ya kutosha mchana na usiku mpaka huyo pepo mchafu akutoke.
jf is never boring ndg. Nae ni 'sinker'. Kaacha ku valishwa na mkewe chumbani, anavalia sebuleni aliko dada wa kazi, halafu anamlaumu mkewe! Wonderz never ceaseNi Great sinker alepost hii Makitu???
MKama mdada wa Nyumbani anaingia hadi Chumbani kwenu, nina walakini nanyi coz inanipa picha kwamba yawezekana kuna kinachotendeka wakati mke wako hayupo na hata yeye anaweza akawa na mashaka nawe ndo maana amereact hivyo.Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada (mtumishi wa kazi) nae yupo sebuleni anapanga chai,kumbe mamsapu nae akikuwa akitoka chumbani akashuhudia kile ambacho dada aliona na kutizama pembeni. Mamsapu analalamika kwa nini nikavalie sebuleni namwonyesha nini dada? Ilianza kama utani, duh sasa imekuwa moto baada ya kumtania mamsapu eti "eeh we, dada si kaona chupi tu ambayo anapo zifua au akiingia chumbani kutandika anaona?! Mamsapu anadai sio bure nishalamba dada, kwanini ifikie kuonyeshana nguo za ndani?
Kama mdada wa Nyumbani anaingia hadi Chumbani kwenu, nina walakini nanyi coz inanipa picha kwamba yawezekana kuna kinachotendeka wakati mke wako hayupo na hata yeye anaweza akawa na mashaka nawe ndo maana amereact hivyo.Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada (mtumishi wa kazi) nae yupo sebuleni anapanga chai,kumbe mamsapu nae akikuwa akitoka chumbani akashuhudia kile ambacho dada aliona na kutizama pembeni. Mamsapu analalamika kwa nini nikavalie sebuleni namwonyesha nini dada? Ilianza kama utani, duh sasa imekuwa moto baada ya kumtania mamsapu eti "eeh we, dada si kaona chupi tu ambayo anapo zifua au akiingia chumbani kutandika anaona?! Mamsapu anadai sio bure nishalamba dada, kwanini ifikie kuonyeshana nguo za ndani?
Acheni kujidhalilisha, mambo yenu ya kufuliana na kuonyeshana Vyupi ndo mnatuletea, kweli????????????? Acheni hizoSiku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada (mtumishi wa kazi) nae yupo sebuleni anapanga chai,kumbe mamsapu nae akikuwa akitoka chumbani akashuhudia kile ambacho dada aliona na kutizama pembeni. Mamsapu analalamika kwa nini nikavalie sebuleni namwonyesha nini dada? Ilianza kama utani, duh sasa imekuwa moto baada ya kumtania mamsapu eti "eeh we, dada si kaona chupi tu ambayo anapo zifua au akiingia chumbani kutandika anaona?! Mamsapu anadai sio bure nishalamba dada, kwanini ifikie kuonyeshana nguo za ndani?
Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada (mtumishi wa kazi) nae yupo sebuleni anapanga chai,kumbe mamsapu nae akikuwa akitoka chumbani akashuhudia kile ambacho dada aliona na kutizama pembeni. Mamsapu analalamika kwa nini nikavalie sebuleni namwonyesha nini dada? Ilianza kama utani, duh sasa imekuwa moto baada ya kumtania mamsapu eti "eeh we, dada si kaona chupi tu ambayo anapo zifua au akiingia chumbani kutandika anaona?! Mamsapu anadai sio bure nishalamba dada, kwanini ifikie kuonyeshana nguo za ndani?
Na sie wanawake wasomi tunatia aibu, naamini mimi nikiolewa chupi ya mume wangu naifua mimi na kutandika kitanda natandika mie ati! Tuache USOMI
Mamsapu wako anaweza kuwa sawa, na kwanini wewe usirudi tena ndani baada ya kumkuta msichana anatenga chai?Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada (mtumishi wa kazi) nae yupo sebuleni anapanga chai,kumbe mamsapu nae akikuwa akitoka chumbani akashuhudia kile ambacho dada aliona na kutizama pembeni. Mamsapu analalamika kwa nini nikavalie sebuleni namwonyesha nini dada? Ilianza kama utani, duh sasa imekuwa moto baada ya kumtania mamsapu eti "eeh we, dada si kaona chupi tu ambayo anapo zifua au akiingia chumbani kutandika anaona?! Mamsapu anadai sio bure nishalamba dada, kwanini ifikie kuonyeshana nguo za ndani?
Kwakweli hili la hg kufua ch**p limenistua kidogo!!
Kwakweli hili la hg kufua ch**p limenistua kidogo!!
Kumbe ni nyie mnayewapa wasichana wafue nyupi zenu eeh!