Jamani hata chupi ikionekana ikiwa mwilini bado utaambiwa umekaa uchi? Kumbe hata mtu mwingine akiishika na kuifua napo utakuwa umekaa uchi?
Ilikuwa bahati mbaya tu nami nilitania tu lakini imekuwa "inshu"
Kwa hio wewe umeona hilo ni swali la kawaida tu sio...Congrats:biggrin1:Hujaona alama ya kuuliza?
Mkuu nini tena mi nimetania we wantusi khaaa, mwezi mtukufu huu utampotezea hudhu na thawabu atiii... Sio vyema mkuu kuporomosheana matusi kwn JF, ukikwazika, poza kikondoo,umri wa kutusiana ushapita mtumishi. Mungu akujalie hekima na busara usiendelee hivyo mpaka uzeeni mwako ili uweze kuishi kwa furaha ukimaliza ujana wako!.Usitanie tena kitu kama hicho, **** weee.
Ni vipi kama ungemkuta wife wako nae anajifunga vizuri khanga mbele ya houseboy wenu halafu unajua kabisa alitoka chumbani kwenu asubuhi labda akienda toilet ya nje na hakuvaa chochote zaidi ya kufuli?????
Angalia matani ya kupost humu wakati mwingine. msh**$&%#**@!!!%$& weeeee
Ama kweli ndege wafananao ndio warukao pamoja....
Yaani watu wazima wawili mnamwachia hg afue vyupi zenu?
Atandike kitanda chenu?
Nyie wenyewe mmekatika mikono au?
Utamwachiaje hg afue shaha**a zako?
Kwa nini hamjiheshimu?
Kwa nini hammweshimu huyo binti?
Kwa nini hamumthamini?
Ama kweli ndege wafananao ndio warukao pamoja....
Yaani watu wazima wawili mnamwachia hg afue vyupi zenu?
Atandike kitanda chenu?
Nyie wenyewe mmekatika mikono au?
Utamwachiaje hg afue shaha**a zako?
Kwa nini hamjiheshimu?
Kwa nini hammweshimu huyo binti?
Kwa nini hamumthamini?
Ikiwa ni kweli mama amemruhusu Hse gal wao kuwa anatandika kitanda na kufua chupi basi wote, huyu mama na huyu mleta mada ni tatizo. kama hse gal huyu anapika, anapakua, anafua chupi na kutandika kitanda; ni sababu zipi zitakazomfanya asimalizie na kazi ile nyepesi iliyobaki ya "kumlea" baba endapo mama atashindwa kuitimiza kutokana na "ubize" wake?mh makubwa...
binti anawatandikia kitanda,
anawafulia chup!!!???
Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada (mtumishi wa kazi) nae yupo sebuleni anapanga chai,kumbe mamsapu nae akikuwa akitoka chumbani akashuhudia kile ambacho dada aliona na kutizama pembeni. Mamsapu analalamika kwa nini nikavalie sebuleni namwonyesha nini dada? Ilianza kama utani, duh sasa imekuwa moto baada ya kumtania mamsapu eti "eeh we, dada si kaona chupi tu ambayo anapo zifua au akiingia chumbani kutandika anaona?! Mamsapu anadai sio bure nishalamba dada, kwanini ifikie kuonyeshana nguo za ndani?
wamekutana pipa na mfuniko!!!mmh kazi kwelikweli ni kwa vile mmezoea kufanyiwa kila kitu na sisi ila kiustraabu unatakiwa ufue ch*** yako mwenyewe