Kuongeza SD card na RAM bila Root

Kuongeza SD card na RAM bila Root

Robert_Carlos

Member
Joined
Aug 2, 2018
Posts
16
Reaction score
3
Application ipi inaweza kuongeza ukubwa wa Memory card na RAM ya simu ya Android bila kuRoot simu
images%20(3).jpeg
images%20(2).jpeg
 

Attachments

  • images%20(2).jpeg
    images%20(2).jpeg
    7 KB · Views: 61
Hakuna kitu kama hicho utakachofanya ni kufanya kazi bandia hata ukiongeza ukubwa wa SD Card itakuwa haina uwezo wowote ule.
 
hicho haiwezekani Kwa memory card maana hio ni hardware ingekuwa software ingekuwa easy tu
 
kitu unataka ni kama kusukuma gari ukiwa ndani yake.,utalitikisa tu.
 
Unachokitaka ni impossible, uza hiyo simu ununue simu yenye RAM na Internal Storage ya kutosha.
 
Nahisi huelewi unachokisema hapa au umekosa msamiati sahihi, kifupi huweziongeza uwezo/ukubwa wa SD card. Hiyo memory circuit ishatengenezwa tayari na chapa ity hyo, hizo adds zinazokuja kti CM yako za kutaka uweze "kurefresh" ku clean cache na kumbukumbu zingine zinazofanana na hizo ambayo huifanya circuit ilikuwa imeandika kumbukumbu hizo kuzisahau na kuwataka huru. In short NI sawa na kukung'uta vumbi ktk nguo na kusema we msafi baada ya kuanguka, uchafu utabaki! Haiwezekani.
 
Back
Top Bottom