Kuonekana kwa comred Kinana

Kuonekana kwa comred Kinana

Bazilio

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
629
Reaction score
335
Kulizuka comment za Kinana kutoonekana kwenye vikao vya CCM ikafika hadi dhana ya kujiengua kimyakimya hivi kaonekana juzi jana kwenye hivo vikao watu kimya. Hili linaashiria nini hasa kimtazamo.
 
Ndio wajibu wake, watu wangeongea kama hasingeonekana tena safari hii. Ni wajibu wa katibu mkuu wa chama kuwepo kwenye vikao vya juu vya chama. Hasipoonekana kwa sababu zisizo na mashiko ndipo huzua maswali na hayo maneno unayoyasema.
 
Hakuonekana, watu wakawa wanajiuliza. Ukiwazuia watu kufikiri na kuongea unadumaza akili zao.
 
Shida si ilikuwa aonekane tu, tumemwona bhasi. Unataka tuseme nini zaidi?
 
Ndio wajibu wake, watu wangeongea kama hasingeonekana tena safari hii. Ni wajibu wa katibu mkuu wa chama kuwepo kwenye vikao vya juu vya chama. Hasipoonekana kwa sababu zisizo na mashiko ndipo huzua maswali na hayo maneno unayoyasema.
Kwakweli....
 
Asionekane mchezo! Kafanya maamuzi magumu baada ya wale business partners wake kuswekwa korokoroni bila dhamana! Hivyo alikuwa hana jinsi zaidi ya kupeleka kiwiliwili chake kikaoni huku akili na ukereketwa vikibaki nyumbani.
 
  • Thanks
Reactions: 911
Kulizuka comment za Kinana kutoonekana kwenye vikao vya CCM ikafika hadi dhana ya kujiengua kimyakimya hivi kaonekana juzi jana kwenye hivo vikao watu kimya. Hili linaashiria nini hasa kimtazamo.
Pigo lingine hilo kwa chagadema
 
Ndani ya CCM na Serikali bado moto unafukuta. Mwigulu kuja humu juzi na kumpiga dongo uchwara inaonyesha hali halisi. Mtapaka poda na mafuta uzuri kutoa rushwa ya mamilioni na vyeo lakini bado CCM haiko shwari na nchi bado inaenda mrama kama gari bovu.
 
Back
Top Bottom