Tanzania Tech
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 355
- 276
But ni video ya dk 2 tuBando baba
But ni video ya dk 2 tu
Habari wana JF, Najua wote hamjambo na mmeamka salama, kwa wale wagonjwa au wenye matatizo ya kimaisha tunapenda kutoa pole zetu za dhati na kuwaombea mwenyezi Mungu awape wepesi.
Baada ya kusema hayo, leo ningependa kushare na nyie njia rahisi ya kuweza kuondoa background kwenye picha yako yoyote bila kutumia programu. Njia hii ni nzuri kwa sababu inafanya kazi vizuri sana tofauti na njia nyingine ambazo unazijua ambazo hutumii programu kama adobe. Tofauti ya njia hii ni kuwa utaweza kuondoa background kwenye picha zenye mtu ndani yake na sio vinginevyo. Njia hii ni rahisi sana na natumaini itasaidia watu humu kwa namna moja ama nyingine.
Kama kuna mahali umekwamba usiache kuuliza hapo chini pia kama unajua njia rahisi zaidi ya hii unaweza kutujulisha hapo chini.
Kifupi ni kuwa njia hii inasaidia kuondoa background bila kutumia programu za ziada zaidi ya zile ambazo tayari kila mtu anazo kwenye simu au kompyuta yake. Na kuhusu ubora njia hii ni bora sana na rahisi kutumia hasa wenye picha zenye watu. MFANO HAPO CHINI.Bila kutumia program? si kweli labda angesema bila kutumia graphics program/software kwani hata Browser ni program. sasa hiyo njia ni kwaajili ya vitu vidogo vidogo na haiwezi kuwa effective. Ukiangalia kwenye adobe ingawa ni Advanced na unaweza kuseti i.e tollerance lakini kuna wakati pia unaweza kukosa matokeo halisi uliyotarajia.
Bila kutumia program? si kweli labda angesema bila kutumia graphics program/software kwani hata Browser ni program. sasa hiyo njia ni kwaajili ya vitu vidogo vidogo na haiwezi kuwa effective. Ukiangalia kwenye adobe ingawa ni Advanced na unaweza kuseti i.e tollerance lakini kuna wakati pia unaweza kukosa matokeo halisi uliyotarajia.
I’m glad that you like it.Kifupi ni kuwa njia hii inasaidia kuondoa background bila kutumia programu za ziada zaidi ya zile ambazo tayari kila mtu anazo kwenye simu au kompyuta yake. Na kuhusu ubora njia hii ni bora sana na rahisi kutumia hasa wenye picha zenye watu. MFANO HAPO CHINI.View attachment 1011373View attachment 1011374
Jibu si ndio hili au..?Wakuu msaada please app gani ambayo husaidia kuondoa background ya picha
I'm sorry, I don't quite understand what you mean by that...how this one can done?
Nahitaji app kuondoa background kwa simu yangu ya Android.Habari wana JF, Najua wote hamjambo na mmeamka salama, kwa wale wagonjwa au wenye matatizo ya kimaisha tunapenda kutoa pole zetu za dhati na kuwaombea mwenyezi Mungu awape wepesi.
Baada ya kusema hayo, leo ningependa kushare na nyie njia rahisi ya kuweza kuondoa background kwenye picha yako yoyote bila kutumia programu. Njia hii ni nzuri kwa sababu inafanya kazi vizuri sana tofauti na njia nyingine ambazo unazijua ambazo hutumii programu kama adobe. Tofauti ya njia hii ni kuwa utaweza kuondoa background kwenye picha zenye mtu ndani yake na sio vinginevyo. Njia hii ni rahisi sana na natumaini itasaidia watu humu kwa namna moja ama nyingine.
ANGALIA MFANO HAPA
Kama kuna mahali umekwamba usiache kuuliza hapo chini pia kama unajua njia rahisi zaidi ya hii unaweza kutujulisha hapo chini.
Bro unataka tutorial kwa blah blah za maandishi?! Never!!Bando baba
Kila programu ina umuhimu wake, ila kupata picha yenye kutokea vizuri background inatakiwa kuwa na rangi tofauti na mtu mwenyewe, kukiwa na muingiliano wa rangi kidogo inakata sehemu husika.Inakula baadhi ya sehemu za picha haswa kichwani....... Bado umuhimu wa Photoshop uko pale pale
Safi mkuu ila vipi kama ukitaka kuweka background unayotaka weweHabari wana JF, Najua wote hamjambo na mmeamka salama, kwa wale wagonjwa au wenye matatizo ya kimaisha tunapenda kutoa pole zetu za dhati na kuwaombea mwenyezi Mungu awape wepesi.
Baada ya kusema hayo, leo ningependa kushare na nyie njia rahisi ya kuweza kuondoa background kwenye picha yako yoyote bila kutumia programu. Njia hii ni nzuri kwa sababu inafanya kazi vizuri sana tofauti na njia nyingine ambazo unazijua ambazo hutumii programu kama adobe. Tofauti ya njia hii ni kuwa utaweza kuondoa background kwenye picha zenye mtu ndani yake na sio vinginevyo. Njia hii ni rahisi sana na natumaini itasaidia watu humu kwa namna moja ama nyingine.
ANGALIA MFANO HAPA
Kama kuna mahali umekwamba usiache kuuliza hapo chini pia kama unajua njia rahisi zaidi ya hii unaweza kutujulisha hapo chini.
Kila programu ina umuhimu wake, ila kupata picha yenye kutokea vizuri background inatakiwa kuwa na rangi tofauti na mtu mwenyewe, kukiwa na muingiliano wa rangi kidogo inakata sehemu husika.