Abdul Bilal Member Joined Jul 29, 2017 Posts 88 Reaction score 15 Jul 3, 2018 #1 Habari Wakuu kuna mwenye kunisaidia namna ya ku view simu yangu kwa full screen ya laptop? Yani niplay kitu kwenye simu kisha nione kwenye laptop
Habari Wakuu kuna mwenye kunisaidia namna ya ku view simu yangu kwa full screen ya laptop? Yani niplay kitu kwenye simu kisha nione kwenye laptop
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,063 Reaction score 43,492 Jul 3, 2018 #2 una windows gani kwenye laptop?
KUCH KUCH JF-Expert Member Joined Dec 18, 2015 Posts 1,327 Reaction score 966 Jul 4, 2018 #3 Chief mkwawa, mm nina windows 7
Abdul Bilal Member Joined Jul 29, 2017 Posts 88 Reaction score 15 Jul 4, 2018 Thread starter #4 Chief-Mkwawa said: una windows gani kwenye laptop? Click to expand... Windows ten mkuu
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,063 Reaction score 43,492 Jul 4, 2018 #5 Abdul Bilal said: Windows ten mkuu Click to expand... kama una up to date windows 10 fungua app inaitwa connect, search kwenye list ya app utaiona, ukishafungua pc yako itakuwa kama receiver. kwenye simu yako nenda setting kisha tafuta cast kisha fungua utaiona pc yako kwenye list, iclick na screen ya simu itaonekana kwenye pc. soma zaidi hapa How to Cast Your Windows or Android Display to a Windows 10 PC
Abdul Bilal said: Windows ten mkuu Click to expand... kama una up to date windows 10 fungua app inaitwa connect, search kwenye list ya app utaiona, ukishafungua pc yako itakuwa kama receiver. kwenye simu yako nenda setting kisha tafuta cast kisha fungua utaiona pc yako kwenye list, iclick na screen ya simu itaonekana kwenye pc. soma zaidi hapa How to Cast Your Windows or Android Display to a Windows 10 PC
Abdul Bilal Member Joined Jul 29, 2017 Posts 88 Reaction score 15 Jul 4, 2018 Thread starter #6 Tatizo hii cast haipo katika simu zote Mfano mm haina kabisa ni Huawei Honor 7x
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,063 Reaction score 43,492 Jul 4, 2018 #7 KUCH KUCH said: Chief mkwawa, mm nina windows 7 Click to expand... kwa windows 7 ama windows yoyote unaweza tumia app inaitwa airdroid ipo playstore.
KUCH KUCH said: Chief mkwawa, mm nina windows 7 Click to expand... kwa windows 7 ama windows yoyote unaweza tumia app inaitwa airdroid ipo playstore.
KUCH KUCH JF-Expert Member Joined Dec 18, 2015 Posts 1,327 Reaction score 966 Jul 4, 2018 #8 Chief-Mkwawa said: kwa windows 7 ama windows yoyote unaweza tumia app inaitwa airdroid ipo playstore. Click to expand... Tnx chief
Chief-Mkwawa said: kwa windows 7 ama windows yoyote unaweza tumia app inaitwa airdroid ipo playstore. Click to expand... Tnx chief
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,063 Reaction score 43,492 Jul 4, 2018 #9 Abdul Bilal said: Tatizo hii cast haipo katika simu zote Mfano mm haina kabisa ni Huawei Honor 7x Click to expand... sio lazima iitwe cast itakuwa na jina jengine, no way hio simu iwe haina. jaribu hii app https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mattgmg.miracastwidget
Abdul Bilal said: Tatizo hii cast haipo katika simu zote Mfano mm haina kabisa ni Huawei Honor 7x Click to expand... sio lazima iitwe cast itakuwa na jina jengine, no way hio simu iwe haina. jaribu hii app https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mattgmg.miracastwidget