Kuona android screen kwenye laptop

Kuona android screen kwenye laptop

Abdul Bilal

Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
88
Reaction score
15
Habari
Wakuu kuna mwenye kunisaidia namna ya ku view simu yangu kwa full screen ya laptop?
Yani niplay kitu kwenye simu kisha nione kwenye laptop
 
Tatizo hii cast haipo katika simu zote
Mfano mm haina kabisa ni Huawei Honor 7x
 
Back
Top Bottom