Na shida yao kubwa hawana shukrani unaweza kumpa siku nyingine akiomba ukimwambia sina anadai umemnyima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gilbert ninga hata kabia kemu ndiakwa"...in chagas ascent
Wape hai hapo mkuu
Tatizo uwe nazo au usiwe nazo wao ni pesa tu jamanib utazani pesa zipo juu mwembe unatikisa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee endelea na moyo wa kutoa hivyo hivyo.Hahaha usipokuwa na pesa kijiji kizima kitajua huna pesa
Kuna jamaa aliniomba hela baada ya kushukuru na kuendelea na maisha yake, akaenda kuwaambia wenzake nao wakaja kuniomba hela. Kilichoniuma nilimsikia mmoja wao akizungmza "yule mpumbavu katupa hela leo" wakati sijawahi hata kuwakosea. Kuna mda wanaona tunaowapa hela sisi ni wajinga
“nipe pesa ndi umefika za motomoto kabla hazijaisha”
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aikambee
Sent using Jamii Forums mobile app
UluguruniEverything is fine
Unatokea mkoa gani vile
Hahaha usipokuwa na pesa kijiji kizima kitajua huna pesa