Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,315 Reaction score 8,751 Apr 28, 2019 #1 Habari wadau.. Nina ndugu yangu anataka asome Diploma ya Pharmacy/CO.. Mwakahuu.. Je Application zinaanza lini.. Pia Naomba na taarifa zingine za Muhimu ikibidi! Asanteni!
Habari wadau.. Nina ndugu yangu anataka asome Diploma ya Pharmacy/CO.. Mwakahuu.. Je Application zinaanza lini.. Pia Naomba na taarifa zingine za Muhimu ikibidi! Asanteni!
Alfred JF-Expert Member Joined Apr 13, 2008 Posts 2,186 Reaction score 3,025 Apr 28, 2019 #2 Wanakuja!
Barickhan majura Member Joined Sep 25, 2017 Posts 17 Reaction score 8 Apr 29, 2019 #3 Khan said: Habari wadau.. Nina ndugu yangu anataka asome Diploma ya Pharmacy/CO.. Mwakahuu.. Je Application zinaanza lini.. Pia Naomba na taarifa zingine za Muhimu ikibidi! Asanteni! Click to expand... nackia application kupitia nacte kwa vyuo vya serikali zinaanza mwez wa tano katikati. lakin kwa vyuo vya Prvat udahil unaendelea saiv
Khan said: Habari wadau.. Nina ndugu yangu anataka asome Diploma ya Pharmacy/CO.. Mwakahuu.. Je Application zinaanza lini.. Pia Naomba na taarifa zingine za Muhimu ikibidi! Asanteni! Click to expand... nackia application kupitia nacte kwa vyuo vya serikali zinaanza mwez wa tano katikati. lakin kwa vyuo vya Prvat udahil unaendelea saiv
JAPHA ED JF-Expert Member Joined Aug 17, 2016 Posts 795 Reaction score 1,229 Apr 29, 2019 #5 Barickhan majura said: nackia application kupitia nacte kwa vyuo vya serikali zinaanza mwez wa tano katikati. lakin kwa vyuo vya Prvat udahil unaendelea saiv Click to expand... Udahili kwa vyuo vya private na serikali huwa unaanza pamoja na kugungwa pamoja
Barickhan majura said: nackia application kupitia nacte kwa vyuo vya serikali zinaanza mwez wa tano katikati. lakin kwa vyuo vya Prvat udahil unaendelea saiv Click to expand... Udahili kwa vyuo vya private na serikali huwa unaanza pamoja na kugungwa pamoja