Riziki Omary
Member
- Oct 9, 2020
- 5
- 4
Habarini wanajamvi samahanini naomba kuuliza kidogo juu ya hili swala.
Ninampango wa kununua CANTER USED ilio katika hali nzuri ili niweze kufanya biashara ya usafirishaji ambapo katika biashara mimi nitakaa kama Tandu kushoto. Sasa naombeni msaada wenu wa A,B,C juu ya hii biashara
1. Naomba kujua ni aina gani ya Canter ni nzuri na imara kwaajili ya biashara ya usafirishaji mizigo kwa canter kulingana na mazingira yetu ya hapa TZ na ukubwa(Tani) ngapi ni mzuri ambao gari itakua rahis kuchora kijiweni
2. Je ni nini vya kuzingatia hasa vya kiufundi endapo nitaenda nunua gari hii used ili nisije nikanunua gari mbovu, je ni vipi hasa vya msingi natakiwa kuzingatia wakat nakagua gari ili nisije nikashikishwa?
3. Ni njia gani nzuri ya kuifanya biashara hii ya gari ya mizigo canter iweze kunilipa
4. Kwa haraka haraka Canter ilio katika hali nzuri je naweza kuipata kwa gharama ya used SHINGAPI, hii iwe gari ambayo direct inaingia mzigoni sio ya kupita kwa fundi
5. Kama ndugu yeyote analo la kuchagia ambalo ni la muhimu anaweza kuniongezea.
NB kijiwe cha mzigo na plan KIBAIGWA AU DODOMA MJINI