Kuomba sponsorship

Innocenthezron

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2016
Posts
393
Reaction score
472
Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza wa udaktari hapa Hubert Kairuki memorial University HKMU.......sijawah panga kusoma katika hiki chuo kutokana na ada yake kua kubwa lakini kutokana na passion yangu ya kua daktari na upungufu wa vyuo vya udaktari hapa nchini nikalazimika kuja kusoma hapa nikijipa moyo kwa kua sijawah soma private school labda nitapewa mkopo asilimia mia lakini mambo hayajawa kama nilivyodhania........ Naomba kama kuna mashirika au watu binafsi wanaoweza kunifadhili masomo yangu kwa mkataba wowote ambao hautaingilia utu wangu niko tayari hata kama kuwafanyia kazi pindi nitakapomaliza masomo yangu hata kua daktari binafsi pia nipo tayari..... Natanguliza shukrani wana JF natamani ninachokiandika sasa kitimie Namtanguliza Mungu pia katika haya maombi yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…