Naomba Niulize hili jambo la kuomba Saini kwa watu maarufu kama wasanii au wachezaji na watu wengine hua ni kwa maana gani au lengo gani naomba nijulishwe.
Tena memory inayobeba vitu vingi mf mlikutana sehemu flani! Ilikuwa ushindi ama defeat flani? Inawezekana ilikuwa birthday yako! Inawezekana uliingia uwanjani kwa pesa Ktk mshahara wk wa kwanza!