B bK698 Member Joined Dec 20, 2023 Posts 26 Reaction score 14 Dec 20, 2023 #1 Habarini wana JF, naomba kufahamu, je Kwa wanafunzi waliomaliza kozi ya clinical medicine wakiomba result transcript inachukua mda gani kuipata Kwa wanaochukulia ofisi za nacte za kanda na wale wanaochukulia ofisi kuu dar? Nawasilisha
Habarini wana JF, naomba kufahamu, je Kwa wanafunzi waliomaliza kozi ya clinical medicine wakiomba result transcript inachukua mda gani kuipata Kwa wanaochukulia ofisi za nacte za kanda na wale wanaochukulia ofisi kuu dar? Nawasilisha