DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,976
- 3,129
Habari!
Nami kama mtanzania huru nawasilisha masikitiko yangu makubwa juu ya kinachoendelea bungeni kutokurusha matangazo yake moja kwa moja kwa visingizio visivyo na mashiko wala maendeleo kwa taifa.
Najiuliza na kutafakari kwa sauti, mbona wakati wa kampeni vyama mbalimbali vya siasa hasa CCM na "UKAWA " waliweza kufanikisha na hawakiona tatizo kuwa live kwenye TV kwa nini tumewachagua hawataki tuwaone na kuwasikia wakiwakilisha hoja zetu?
Je wakati wa kampeni watanzania tulisimama kufanya kazi kiasi kwamba tulikuwa na muda wa kutazama kampeni zao leo tumemaliza mapumziko?
Je ni kweli kuwa vyama vya siasa vina pesa kuliko serikali yangu pendwa kiasi kuwa serikali haina uwezo wa kulipia? Kama ni hivyo vyama vya siasa kuwa na nguvu kuliko serikali/nchi basi tupo hatarini!
Ounce your right to receive information is denied by the time you come to realize you will have been disinformed!