Kuomba kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuomba kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Baby shangazi, Mar 25, 2012.

 1. B

  Baby shangazi Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hello wanaJF, mimi nimegraduate mwaka jana with my degree in marketing,but nikapata matatizo ya kifamilia so ckuweza kuanza harakati za kutafuta kazi mapema, sasa nimetulia nataka nisambaze CV zangu maofisin, in case ya bank ni lazima kutuma makao makuu au hata kwa branch managers?m nipo mbeya sasa, pliz naomben mawazo yenu.
   
Loading...