intro
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 308
- 328
Habari zenu wakuu..
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,kwa ufupi Mimi in kijana niliyefanikiwa kuonja ladha ya elimu ya chuo.Nimesoma chuo Fulani maarufu hapa nchini course ya accountancy(BACC).Sasa kutokana na changamoto za ada nikashindwa kumaliza mwaka wangu WA tatu chuo.
Kutona na hilo ilibidi niingie kitaani nipambane nikiamini si elimu tu inaweza kunitoa kimaisha.Sasa katika hustling zangu za hapa na pale nimekutana na changamoto kwamba michongo mingine hupati bila kuaminika na vyeti kwamba umesoma(which is hopeless).
Katika stori za hapa na pale chuo nilishawahi kusikia kwamba ukimaliza first two years za degree unaweza kuwa entitled na advanced diploma.
1.Je hili Lina ukweli wowote?
2.Ni vyuo vyote au baadhi?(nimesoma serikali)
3.Asanteni na karibuni.