Akubali aolewe tu ivoivo asije kujikuta karuka kojo kakanyaga maviHabari zenu? Hope mu wazima!!
Binadamu tuna mawazo tofauti sana, namaanisha kila mmoja ana namna Mungu alivyomjalia hekima.
Ninaomba mnipe ushauri wa kumshauri huyu mtu maana hadi sasa analia tu.
Main body: Nina jirani yangu wa kike ambaye sahivi ni kama rafiki kabisa kwangu. Kuna kaka alimpenda tangu akiwa mwaka wa kwanza chuoni na kaka alikua mwaka wa tatu, yule kaka alilenga kumuoa dada huyu. Alimsubiri hadi ahitimu masomo yake ya chuo, akahitimu, yule kaka akamwambia kwamba "tayari umehitimu sasa nikuoe" Dada akajibu kwamba hadi apate kazi, haya, amepata kazi hapa Dar lakini moyo wake ni kama uko mbali na kaka yule kimapenzi, hadi amemvisha Pete ya uchumba, na mahari katoa, harusi ni 16/9/2017, Dada analia tu kila siku eti hajiskii kuolewa na kaka yule, yaani anaumia kila siku inapokatika.
Sasa jamani, afanyeje dada huyu? Kaka yupo committed na anampenda sana, lakini huyu dada ndo hvo tena.
The floor is yours wapendwa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Atajuta na atamkumbuka huko, airport kapata kahb yawezekanaCjafika uo umri kabsa wa kitak kuwowa Ila nayafahamu mahusiano zaid yanavojijua yenyew
Uyo Dada mwache alete wenge tu ataijua dunia ni nan,,,,
Hakuna kitu kitam kam mwanamke akapendwa na mwanaume ,ataish kam mfalme Ila akitafuta anaempenda bhc atakuja kutoa ushuhuda wake APA jinc wanaume tulivo
[HASHTAG]#akiliyakuambiwachanganyanayako[/HASHTAG]
Sent using Jamii Forums mobile app
SijamboLV jirani yako lazima atakuwa na matatizo sehemu... hadi harusi inapangwa anaangalia tu...? Hakuna haja ya kumwombea ushauri ni mpuuzi
Haujambo lakini mdogo wangu? Miss you
Habari zenu? Hope mu wazima!!
Binadamu tuna mawazo tofauti sana, namaanisha kila mmoja ana namna Mungu alivyomjalia hekima.
Ninaomba mnipe ushauri wa kumshauri huyu mtu maana hadi sasa analia tu.
Main body: Nina jirani yangu wa kike ambaye sahivi ni kama rafiki kabisa kwangu. Kuna kaka alimpenda tangu akiwa mwaka wa kwanza chuoni na kaka alikua mwaka wa tatu, yule kaka alilenga kumuoa dada huyu. Alimsubiri hadi ahitimu masomo yake ya chuo, akahitimu, yule kaka akamwambia kwamba "tayari umehitimu sasa nikuoe" Dada akajibu kwamba hadi apate kazi, haya, amepata kazi hapa Dar lakini moyo wake ni kama uko mbali na kaka yule kimapenzi, hadi amemvisha Pete ya uchumba, na mahari katoa, harusi ni 16/9/2017, Dada analia tu kila siku eti hajiskii kuolewa na kaka yule, yaani anaumia kila siku inapokatika.
Sasa jamani, afanyeje dada huyu? Kaka yupo committed na anampenda sana, lakini huyu dada ndo hvo tena.
The floor is yours wapendwa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeamka sahv?Kwa nini usimwambie kuwa humpendi kuliko kulia lia tu ... Kwa nini hukuwambia wazazi kuwa wasipokee mahari yake kwa nini unakuja kulia humu JF... Mrudishie mahari yake na mwambie kuwa huna hisia naye
Nje ya mada.LV jirani yako lazima atakuwa na matatizo sehemu... hadi harusi inapangwa anaangalia tu...? Hakuna haja ya kumwombea ushauri ni mpuuzi
Haujambo lakini mdogo wangu? Miss you