Kuolewa na mwanajeshi

lady Jay dee ameachana na Gadna Je Gadna ni Mwanajeshi
? Kuna Wasichana wanauza miili yao je wasichana woote ni malaya? Usiwa na mawazo mgando ww.
 
Matusi hayaruhusiwi mi nahitaj ushauri we kama umeshindwa pa kupeleka matusi yako better usichangie usitake kujifanya perfect haya mambo yanahitaj uelewa MULTimandalin
Kiukweli Unapaswa Utukanwe maana inaonekana Hujakuwa bado mtoto sana ww.
 
Last edited by a moderator:

Zero kabisa bwana wako sisi ndo tukushauri weka bac picha yake labda itasaidia.
 
Unequalady, fuata moyo wako unachokutuma. Ss watanzania tumeathiriwa na mitazamo yetu hasi na uoga. Nmezaliwa na kukulia na familia ya kijeshi. Maisha sio kazi unayofanya bali ni maelewano yenu.
 
Last edited by a moderator:
Unequalady, fuata moyo wako unachokutuma. Ss watanzania tumeathiriwa na mitazamo yetu hasi na uoga. Nmezaliwa na kukulia na familia ya kijeshi. Maisha sio kazi unayofanya bali ni maelewano yenu.

Thanks
 
Last edited by a moderator:
ukimpenda mtu mpende jinsi alivo ilimlad moyowako umeridhia kuwa naye
 
aisee una miaka mingapui....mnahitaji counselling pamoja na familia yakonzima....hao marafiki wu hujui kuwa wao ndio wanataka hiyo nafasi...hembuu kuwa kama uliyepevuka ....kaolewe na pchungaji basi uone kama hutapata bado matatatizo kwnye ndoa.....taaluma ya tu sio familia
 

Hahahahahaaaa naona umeamua kufunguka aiseee nimeipenda
 
Khaa!! wewe jiandae na Ligwaride la usiku tu
1. Mguu upande!
2. Tulia!
3. Tawanyika!
:eek2:
 

It takes a strong woman to marry a military man
 
Hao jamaa ni waz1#/nz balaa.

Hii kitu nimekiona sanaaa, sijawahi shuhudia(kwa ninaowafahamu) ambae ametulia, ni vitombi hatari, sasa sijui ni nature ya kazi au? Tukubali tukatae ila kazi huwa zina influence tabia za watu, fanya research utagundua hilo.
 

Sasa wewe naona unapoteza mwelekeo
1) Nani anaeolewa? ni wewe au hao ndugu zako?
2) Unaolewa na m2 au Kazi aliyonayo?
Na kama unaolewa na m2 mwombe mungu awajalie upendo wa dhati achana na hizo kauli za kimtaa ooh familia nyingi za wanajeshi zimejaa mateso. Kasema nani? na hao wanaosema washindwe kwa jina la yesu. sema ameeeeen
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…