uniquelady
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 420
- 177
Jibu yafuatayo nikusaidie!Nina boyfriend ambaye soon atakuwa mchumba wangu kwan anataka apeleke posa home na kutoa mahali ili shughuli nyingne ziendelee.Tatizo langu lililonileta hapa ni;
1.Familia yangu pamoja na marafk zangu wako against na progression yake(uanajeshi)na hii inanipa wasiwasi sana though maamzi ni ya kwetu wanasema anaweza badilika na asilimia kubwa ya ndoa nyingi za wanajeshi zimejaa matatizo ....though Mimi nimepuuza naomba Mwenye ujuzi ,ushauri kuhusu hawa watu anijuze/kunipa mwanga nisije kukosea hapa,kwani wanasema kosea yote ila sio kwenye ndoa.
2.Kwa upande wangu namuamin na napuuza hayo mameno lakin roho nyingne inaniambia inabid niwe makini na haya maamz nayokuja kuyafanya since yanahusu maisha yangu.Nawasilisha ushauri wako ni muhimu sanaaa
Matusi hayaruhusiwi mi nahitaj ushauri we kama umeshindwa pa kupeleka matusi yako better usichangie usitake kujifanya perfect haya mambo yanahitaj uelewa MULTimandalin
Huna kichaa ?ndo swali gani sasa I need positive suggestions only
Jibu yafuatayo nikusaidie!
Una miaka mingapi?
Huna kichaa?
Una elimu gani?
Ulitegemea kuolewa na mwenye kazi gani?
Unafanyia kazi wapi?
Ubikira?
Watakusaidia kuolewa hao ndugu zako au marafiki zako?
Ukileta usenge we unategemea uchekewe tu?
Au unataka mwanaume muelewa, yaani ukirudi umelewa sawa, ukichelewa sawa, semina zisizoisha sawa?