Kuokoka ni lazima...


Ndio walewaleeee wa kujitangazia umaarufu wa kidini mimi nafikiri umaarufu wa matendo yako ndio muhimu zaidi kwa kuwa kujaribu kuwabadili wengine wakati wewe ni yuleyule ni kutibua tu mawazo ya jamii
 
ipo pale njombe mjini...tulio soma Njoss lazima tujue..kuna Toyota, Ndelwa pale n.k
 
hapo lazima ubebe cheti cha ndoa...
 
Kakwambia nani tukienda gest ni tunaenda kulala?
we mwenyewe utakua mwenzetu unajua kazi ya G house
acha kujishaua hapa!

Uzinzi nafanya saaana lakini siyo guest house kwa sababu hiyo ni sehemu maalum ya kufikia wageni siyo ya kufanyia uzinzi, kama mtu kabadili maana basi hilo ni tatizo lake.
 
Madam X vipi hii nae atakuwa hafanyi business???

Mwanamke asiye wako ni yupi na aliye wako ni yupi?

Halafu vipi kama mtu unasafiri na dada yako mnataka kulala vyumba tofauti. Huyo dada yako atakuwa mwanamke wako au si wako?

Ukija na mama yako je? Kama mwanamke si wako maana yake ni "prostitute" ?
 
Uzinzi nafanya saaana lakini siyo guest house kwa sababu hiyo ni sehemu maalum ya kufikia wageni siyo ya kufanyia uzinzi, kama mtu kabadili maana basi hilo ni tatizo lake.

ok!thats all i wanna no
kumbe na wewe unafanya heheeee!
 
mh hao nao! watajuaje huyu ndo prostitute au wana alama?

kama mwanaume/mwanamke anakwenda hapo na mwenzi anapasa kuonesha cheti cha ndoa! lakini mtu anaweza akabeba cheti cha ndoa toka home kwake then akaenda g/house kama hizo na mupenzi!
 
unaweza kubeba cheti cha ndoa lakini ukaingia g/house hiyo na mwenza asiye mke/mme maana vyeti vya ndoa havina picha za wahusika!

Ndio hivyo...ila sasa usijabeba cheti tu ambae umri wako na .ni zaidi miaka ya cheti ukaumbuka....
 
Kuna haja ya vyeti vya ndoa kuwa na picha ya wanandoa ili kuepusha mtu kuchukua cheti chake chandoa na kwenda guest na mwanamke au mke ambaye si wake. Ila jamaa atakuwa anapata pesa mingi maana watu wengi wanajua hapo si rahisi kugundulika
 
Duh
Hii safi sana kwa wale wazee wa kuiba ruti

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…