Kuoga na mume au mke wako...

hao wa mate na mie niliwaonea pale bungoni, anakusokota kidogo anatemea mikono mate anakusokotea kwenye paja, khaa nilichoka.
 
hao wa mate na mie niliwaonea pale bungoni, anakusokota kidogo anatemea mikono mate anakusokotea kwenye paja, khaa nilichoka.

Nyamayao,

Sa si unaona siri hizo za ziada za manywele yenu!
Kumbe kuna mate ya Mmasai tena?

Basi poleni sana, urembo ni kazi kwelikweli!
MwanajamiiOne amesema inabidi time flani uchungulie kwenye dud* ya Mmasai...mmmmmhhhhh!!!!. ukizingatia kwamba wale watu hawavai chup*!!!

Mbona hamtuambii hii mambo mkjia nyumbani?
Mi tangu saa hii nampiga marufuku mamsapu kuenda kwa hao Wamasai!

Au mtasema namnyanyasa?
 
Lakini Pakajimmy kwani wanaposema communication kati ya wawili maana yake nini? instead of you kwenda kuitafuta faraja ya massage toka huko nje why dont you tell your partner what you like and how you like it ili akufanyie? unless umemwambia na hajafanya then you can convince me but si vinginevyo!!
 
kaka plz nilijionea tu lakini wanawake wenye kujua usafi ni nini hawawezi kufanya hayo.....
 
Pakajimmy usinoquote vibaya. mimi sijawahisuka kwa sababu nina kipara (I always like it since nasoma) huwa nawaona wanaosuka jamani!!

Hiyo ya kuvaa au kutokuvaa chupi umeisema wewe mie siyajui jamani lol
 
MwanajamiiOne

Sa mtu amezaa, watoto wanalia, majirani wanagonga mlango, mara mleta maziwa kaja, mara amenuna anataka hela ya ma`lipshine`, machockstick, sijui na manininini...unadhani kweli huyo atakumbuka hiyo massage hata kama ukimwambia?

Masaa 24 ni msongo wa mawazo, hana hata muda wa tartiiibu wa massage.

Ile mambo inataka nafasi banaa!
au nyie mnaionaje?
 
Pakajimmy usinoquote vibaya. mimi sijawahisuka kwa sababu nina kipara (I always like it since nasoma) huwa nawaona wanaosuka jamani!!

Hiyo ya kuvaa au kutokuvaa chupi umeisema wewe mie siyajui jamani lol

MwanajamiiOne

Kwamba unasoma si utetezi!
Wewe ni Mwanajamii, tena unajipa namba One!
Kwahiyo unatakiwa kwa kiasi kikubwa uwe unasema mtazamo wa kikekike zaidi.

Lakini pia ukimaliza masomo si utarudi mtaani kuendeleza mambo ya mafasheni kama hivyo? So usione dhambi kutoa msimamo wa jumla, ni bomba tu!
 
MJO nimeku pm
 
Hivi kulitachi nywele bei gani jamani kuna kimada kinanichuna sana kila wiki nakipa 70,000/= kwa ajili ya kulitachi nywele mmmh huu usafi jamani kweli gharama.
 
Hivi kulitachi nywele bei gani jamani kuna kimada kinanichuna sana kila wiki nakipa 70,000/= kwa ajili ya kulitachi nywele mmmh huu usafi jamani kweli gharama.

We Fidel, ushampa ndo unakuja kuuliza?
Unataka watu wakupe bei kisha ukagombane nae?
Hujui kwamba hizo hela anatumia kulipa kodi, chakula, kusomesha nduguze kijijini, kucheza michezo ya kanga, na bia?
Ngoja mi nikupe bei ya kURITACHI, ni shs 1500 kwa mara moja, sa kwa wiki ulitakiwa umpe 3000/=. (lakn usiwaambie akina MJO,N`Yao), maana wataenda kumweleza huyo mrembo kuwa anapewa ndogo!
 
mwambie huyoooo asiyejua maana ya kuta nne za chumba plus paaa la juu......
mie naona anajiumbua mwenyeweee tuuu.

Hv nyie mnaishi dunia gani? Do you know the secrets?
Mambo ya saluni, manywele, na makemiko ya wanawake ndo siri?
After all mnamjua my wife wangu, hata iwe ndo kumuumbua?
Zis is just an open situation guys!
 
Hivi kulitachi nywele bei gani jamani kuna kimada kinanichuna sana kila wiki nakipa 70,000/= kwa ajili ya kulitachi nywele mmmh huu usafi jamani kweli gharama.
hahahhahah wajinga ndio waliwaooooo fide kwa hizi salon za kibongo bongo hapa bado sijacome across na hiyo salon ya 70,000 ku-retaouch mhhhh labda mie naenda za uswaziii nichicheme mengi bureeeeeeeeeeee
 
Hivi kulitachi nywele bei gani jamani kuna kimada kinanichuna sana kila wiki nakipa 70,000/= kwa ajili ya kulitachi nywele mmmh huu usafi jamani kweli gharama.
........ Hahahaha Fidel ujanja wako woooooote!! Hizo nywele gani zinaretouchiwa kila wiki? Dawa gani hiyo lol pole kaka na hiyo bei ah!!......... kweli ningekupata mie mbona ningefaidi lol sitaki kuamini kama wewe ni rahisi kuingilika namna hii lol wengine wanakagua hadi risiti ati......
 
Hv nyie mnaishi dunia gani? Do you know the secrets?
Mambo ya saluni, manywele, na makemiko ya wanawake ndo siri?
After all mnamjua my wife wangu, hata iwe ndo kumuumbua?
Zis is just an open situation guys!
Mungu wangu hivi ikifikia mume anona kuanika uchafu wa mkewe hadharani ni issue ya public na sio secret between the two? you are worse than i thought.
 
Shukrani mzee dah naingiliwa sana ngoja wiki hii nabanishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…