Barantogwa
Senior Member
- May 3, 2014
- 125
- 152
Watu wa MUNGU, naomba msaada wenu wa kitabibu.
Je, kuna madhara yoyote kiafya kuoga Maji ya baridi baada ya kumaliza mazoezi ya kukimbia umbali mrefu? msaada wenu ni muhimu.