Kuoana

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Kama ingekuwa hakuna huku kunakoitwa kuoana ,unafikiria dunia ingekuwaje,je ni unyama au vipi?
Data sijui zinasemaje ,watanzania wengi hupatikana nje ya ndoa,au tuseme wanawake wengi hapaTanzania hujipatia watoto wakiwa hawajaolewa?
 
Kuoana nia aina fulani ya kistaarab ya kutengeneza territories...
Ni mithili ya kutengeneza ufalme fulani ambao utaendelea kudumishwa katika mtindo wa koo...

Kama wanadamu wasingelikuwa wanoana, nina wasiwasi kusingelikuwa na ustaarabu...mtu mmoja angeliinuka na kwenda kupigana na mtu mwingine...
Huenda mwanamke mmoja angelikuwa na watoto wasio na idadi na kila mmoja na baba yake vivyo hivyo kwa wanaume...

In short kungelikuwa na chaos kama ile ambayo tumepata kusimuliwa huko Sodoma na Gomora...
 
watanzania wengi hupatikana nje ya ndoa,au tuseme wanawake wengi hapaTanzania hujipatia watoto wakiwa hawajaolewa?

Hasa wanawake wa Kizanzibari
Wazanzibari waishio Kumlima (Tanganyika)

Bazazi
 
Wacha kuponda visura + vibasmati weye!
....
Kila viumbe wanamfumo wao wa kuishi!
Embu jiulize ingekuaje wanaadamu na miakili yetu halafu hakuna kuvaa nguo?!!

Hasa wanawake wa Kizanzibari
Wazanzibari waishio Kumlima (Tanganyika)

Bazazi
 
well narrated, logical and meaningful
 
Ingekua sawa tu. Kama tunavoona sawa kwa sasa watu kuoana. Kwani haya yote si tumeyakuta na tunayaendeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…