[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me na Mume wangu TUMEOLEKA
Wifi ake lisaa...😂[emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wifi ake lisaa...[emoji23]
Unabadilika badilika sana jamaniii unanchosha unajuaa..aahh
Hivii!!kwani kila kitu ni lazima tutende au kunena km wazungu?!! Ebu tuache bana, achana na utumwa wa kifikra wa wazungu, utaolewa ohooo!!!Mwanaume anaoa
Mwanamke anaolewa
Kwa maana nyingine ni kuwa:Mwanaume anatenda na mwanamke anatendwa.
Ukisikia mwanaume anamwambia mwanaume mwenzake kuwa unapenda vya bure utaolewa wewe!! Inaashiria kuwa kuolewa ni kitendo cha aibu katika jamii ya kiafrika ndo maana kwa waingereza hutumia neno 'marry' kwa wote na hii imechangia kiasi kikubwa kwa wanaume WA kiafrika kutokuheshimu taasisi ya ndoa.
Pendekezo:Unapimuuliza mwanamke au mwanaume kama ameoa au kuolewa muulize hivi ; kaka/Dada hivi umeoana?
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂wifi lisa mbona hatubadilikii hivii..ww umezidi khaa!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee nimemkumbuka wifi lisa jamani.
Nabadilika kama saa yaani, hutakiwi kunizoea wifi wa lisa.
Sasa wewe umetubinulia kututega utabadilikaje wifi lisa?[emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wifi lisa mbona hatubadilikii hivii..ww umezidi khaa!!!
Mfyuuuuuu nyau wewee😂😂😂Sasa wewe umetubinulia kututega utabadilikaje wifi lisa?[emoji85][emoji85][emoji85]
Mfyuuuuuu nyau wewee[emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki ugomvi wako ujueee...we haya tuu😏😏😏lisa mwenyeweeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Wifi lisa nakusalimia!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sitaki ugomvi wako ujueee...we haya tuu[emoji57][emoji57][emoji57]lisa mwenyeweeee
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji848][emoji848][emoji848]