Kuoa sio lazima

Nikwambie kitu

Good men and good women still exist we all just be overlooking them!!

Na usisahau utapata wa kufanana nawe Boloyoung
 
Japo watu wanasema sana , lakini naona kama kuna ukweli hivi
 
Sio lazima ku duu, twaweza enda geto nakuchill tu, nasema sio lazima ku duuuu… kwaweza enda geto nakuchill tu
 
Nasema hivi kuoa sio lazima hata kuwa na mtoto sio lazima mbona yesu hakuoa wala hakuwa na mtoto nasema hivi sio lazima.
Unaweza kuoa na ukawa na watoto lakini siku ukifa familia yako itakukumbuka kwa muda wa wiki moja tu alafu itakusahau mazima. Unaweza usiwe hata na mtoto lakini mambo uliyoyafanya hapa duniani kama ni makubwa na ya maana sana utakumbukwa milele sio tu na familia yako Bali dunia nzima.

Kama unaona kuwa na familia hakuna umuhimu upo sahihi
and the contrary is true!
Nasema hivi kuoa sio lazima hata kuwa na mtoto sio lazima mbona yesu hakuoa wala hakuwa na mtoto nasema hivi sio lazima.
 
yaani Jf kuna watu wakiambiwa wapeleke maombi kwa GOD kuhusu mapenz sijuii itakuaje

maana kuna wengne Kuzini iwe sio dhambi
Mara kuoa sio lazima hatari
 
Ugonjwa upi unaozungumzia wewe? Kama ni ukimwi huo sio ugonjwa.
 
Unajifananisha na yesu? VP MKUU NAWE TUKISEMA UFE MSALABAN IMEKAEJE.
 
Hongera kwa kujitambua ila chonde chonde kutamani wake za watu.

Nasema hivi kuoa sio lazima hata kuwa na mtoto sio lazima mbona yesu hakuoa wala hakuwa na mtoto nasema hivi sio lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…