Kuoa na kutokuoa

Kuoa na kutokuoa

Omeprazole capsules

New Member
Joined
Feb 13, 2025
Posts
4
Reaction score
11
Habari za wakati huu!
Mimi Leo Nina swali kwenu ndg zangu hivi kati ya watu walio kwenye ndoa tayari yaani nazungumzia ME na ambao hawajaoa ni wapi kati Yao wana maendeleoa zaidi ya wenzake kwenye maisha ?. Coz wanaume tulio wengi tunaamini kuwa kutokuoa ni njia mojawapo ya kufanikiwa kwenye maisha.
Naomba kuwasilisha.
 
Kuoa hakumaanishi kufanikiwa wala kutokuoa pia hakumaanishi kufanikiwa,, kufanikiwa katika maisha ni neno pana sana lenye tafsiri nyingi na njia tofauti za kujibu tafsiri husika,, by the way ni bora ukasikiliza moyo wako unakushawishi kuamini njia ipi ni sahihi kufikia ndoto zako,, kila la kheri mkuu,,
 
Back
Top Bottom